Ajira Mpya Moshi District Council 2025: Nafasi za Dereva na Msaidizi wa Kumbukumbu Zatangazwa
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi anatangaza nafasi mpya za ajira kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki. Nafasi hizi ni kwa ajili ya kuajiri Dereva Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, kufuatia kibali rasmi cha ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Kibali Rasmi cha Ajira
Ajira hizi zimetolewa baada ya kupokelewa kwa kibali chenye Kumbukumbu Na. FA.97/228/01/A/25 kilichotolewa tarehe 29 Aprili 2025.
Nafasi Zinazotangazwa
1. Dereva Daraja la II
- Wenye leseni halali ya kuendesha magari madogo (Class C au zaidi)
- Uzoefu wa kuendesha si chini ya miaka 3 utapewa kipaumbele
2. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II
- Wanaotakiwa kuwa na elimu ya kidato cha nne au sita na mafunzo ya uanadakta/kumbukumbu
- Uzoefu wowote katika ofisi ya serikali au binafsi ni nyongeza
Jinsi ya Kupata Maelezo Kamili
Kwa mchanganuo wa kina kuhusu masharti ya kazi, sifa za waombaji na utaratibu wa kutuma maombi, pakua tangazo rasmi la PDF kwa kubofya link ifuatayo:
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Maombi yote yatatolewa kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa kwenye tangazo. Kama una sifa zinazohitajika, usikose nafasi hii ya kujiunga na utumishi wa umma kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.