Ajira

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

NAFASI Za Kazi Ngorongoro District Council

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro ametangaza nafasi mpya za ajira kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki, kufuatia kibali kilichotolewa na Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye Kumbukumbu Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025.

Fursa za Ajira kwa Watanzania

Tangazo hili linaorodhesha nafasi mbalimbali za ajira ambazo zimeidhinishwa rasmi, na sasa Halmashauri inakaribisha maombi kutoka kwa wananchi wenye vigezo kwa ajili ya kujaza nafasi hizo.

Jinsi ya Kupata Maelezo ya Nafasi

Kwa maelezo kamili ya nafasi zinazopatikana pamoja na sifa zinazohitajika, pakua tangazo rasmi la PDF kwa kubonyeza link ifuatayo:

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO