Nafasi Mpya za Kazi Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Limited, moja ya kampuni kubwa na inayoongoza katika huduma za mawasiliano nchini, imetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa mwezi Juni 2025. Ikiwa ni tanzu ya Vodacom Group – kampuni kubwa ya mawasiliano barani Afrika – Vodacom Tanzania inatoa fursa kwa Watanzania wenye sifa kujiunga na timu yao ya kitaalamu.
Historia kwa Ufupi
Vodacom Group ilianza shughuli zake nchini Tanzania baada ya kupata leseni mnamo Desemba 1999, na kuanzisha kampuni ya Vodacom Tanzania Limited. Mnamo 2007, Vodacom ilikua ya pili Afrika kuwasha teknolojia ya 3G HSDPA, ambayo ilianza kupatikana jijini Dar es Salaam.
Nafasi Zinazopatikana Juni 2025
Vodacom inatafuta wataalamu mbalimbali kwa nafasi zifuatazo:
Cheo | Mahali | Tarehe |
---|---|---|
Territory Manager – Same | Same | 22 Mei 2025 |
Territory Manager – Mbeya | Mbeya | 29 Mei 2025 |
Territory Manager – Bariadi | Bariadi | 7 Juni 2025 |
M-Pesa Lead – Central | Dodoma | 12 Juni 2025 |
Territory Manager – Kibaha | Dar es Salaam | 22 Mei 2025 |
IP Planner and OPS (Mkataba wa Miaka 2) | Dar es Salaam | 25 Mei 2025 |
Performance Engineer (Mkataba wa Miaka 2) | Dar es Salaam | 25 Mei 2025 |
Program Manager | Dar es Salaam | 26 Mei 2025 |
Manager: Cyber Defence | Dar es Salaam | 31 Mei 2025 |
Analyst: P2P, T&E and APA | Dar es Salaam | 9 Juni 2025 |
M-Pesa Internal Audit Specialist | Dar es Salaam | 9 Juni 2025 |
Jinsi ya Kutuma Maombi
Watu wote wenye sifa stahiki wanakaribishwa kutuma maombi kwa nafasi walizoziona zinaendana na taaluma au uzoefu wao.
Pata Matangazo ya Kazi Kila Siku
Unatafuta kazi mpya au unataka kujua mara moja nafasi zinapotangazwa?
🟢 Jiunge na Watanzania wengine kupitia WhatsApp Channel yetu rasmi:
👉 Jiunge Hapa