Ajira

NMB Bank PLC Yatangaza Nafasi 4 Mpya za Kazi

NMB Bank PLC Yatangaza Nafasi 4 Mpya za Kazi – Tuma Maombi Kabla ya 18 Agosti 2025

Nafasi 4 za Ajira NMB Bank PLC – Orodha Kamili na Tarehe ya Mwisho

Benki ya NMB PLC, mojawapo ya taasisi kubwa za kifedha nchini Tanzania, imetangaza nafasi mpya za kazi kwa watanzania wenye sifa stahiki. Benki hii inaendeshwa chini ya leseni kutoka Benki Kuu ya Tanzania na imekuwa na mchango mkubwa katika huduma za kifedha kwa watu binafsi, biashara ndogo na za kati, makampuni na wafanyabiashara wakubwa.

Kwa mujibu wa takwimu za Septemba 2023, NMB ilikuwa benki ya pili kwa ukubwa nchini kwa kiwango cha mali, ikitanguliwa na CRDB Bank PLC.

Nafasi Zinazopatikana NMB Bank PLC

Benki ya NMB inakaribisha maombi kwa nafasi zifuatazo:

1. Relationship Manager – Corporate Banking (Imetangazwa Tena)

πŸ“Œ Nafasi: 1

2. Sales Manager – Groups

πŸ“Œ Nafasi: 1

3. Specialist – Card Governance

πŸ“Œ Nafasi: 1

4. Specialist – Enterprise Architect

πŸ“Œ Nafasi: 1

Mwisho wa Kutuma Maombi

πŸ—“οΈ Tarehe ya mwisho kutuma maombi ni 18 Agosti 2025.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wote wanapaswa kutuma maombi kupitia mfumo rasmi wa ajira wa NMB kwa kubonyeza kiunganishi hapa chini:

πŸ”” Je, unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya za ajira kila siku!