Kuitwa Kazini

PDF Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi 17 Juni 2025

PDF Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi

Orodha Rasmi ya Walioitwa Kazini Utumishi 17 Juni 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza majina ya waombaji kazi waliofanikiwa baada ya kufanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 hadi 18 Mei 2025.

Majina yaliyotajwa ni ya waombaji waliopata alama zinazostahili katika mchakato wa usaili na sasa wameteuliwa kuajiriwa katika nafasi mbalimbali walizoomba.

Orodha hii pia imejumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) ya UTUMISHI kwa kada tofauti, ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kuibuka.

🔍 Kumbuka: Ni muhimu kufungua PDF hiyo ili kuona jina lako na kituo ulichopelekwa. Kama ulifanya usaili ndani ya kipindi kilichotajwa au uko kwenye kanzidata, huenda ukawa miongoni mwa walioitwa.

Hongera kwa wote waliopata nafasi!

🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!