Kuitwa Kazini

PDF: Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 Juni 2025

PDF: Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 Juni 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 June 2025

PDF: Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Kupitia UTUMISHI Tarehe 24 Juni 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza orodha ya waombaji kazi waliopata ajira baada ya kufaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 05 Septemba 2024 hadi 18 Mei 2025. Tangazo hili linabeba majina ya waliofanikiwa na kupangiwa vituo vya kazi mbalimbali.

Majina yaliyotangazwa yanajumuisha pia baadhi ya waliokuwa kwenye kanzidata ya kada tofauti, ambao sasa wamepangiwa vituo rasmi baada ya nafasi kuwa wazi. Kwa waliofaulu, barua za kupangiwa vituo vya kazi zinapatikana kupitia akaunti zao binafsi za Ajira Portal, sehemu ya “My Applications.” Wanatakiwa kupakua barua hizo na kuzichapisha kwa ajili ya kwenda kuripoti katika vituo walivyopangiwa.

Waajiriwa wote wapya wanapaswa kuripoti kwa waajiri wao ndani ya muda uliowekwa kwenye barua hizo, wakiwa na vyeti vyao halisi vya elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Hii ni kwa ajili ya uthibitisho kabla ya kupewa barua rasmi ya ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, wanashauriwa kuendelea kuomba nafasi nyingine zitakapotangazwa.

Link za Kudownload PDF za Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi 24 Juni 2025:

🔔 Unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!

🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!