CECAFA Kagame Cup 2025 Kuchezwa Dar es Salaam
Michuano ya CECAFA Kagame Cup 2025, mashindano ya klabu za Afrika Mashariki na Kati, inatarajiwa kuanza kuchezwa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 2 hadi 15, 2025.
Katika droo iliyofanyika Agosti 28, 2025 kwenye hoteli ya Pan Pacific Suites jijini Nairobi, timu shiriki ziligawanywa katika makundi matatu. Mkurugenzi wa Mashindano wa CECAFA, Yusuf Mossi, alithibitisha kwamba michezo itachezwa kwenye viwanja vya Azam Complex (Chamazi), KMC Complex (Mwenge) na Meja Jenerali Isamuyo (Mbweni).

Makundi ya CECAFA Kagame Cup 2025
Kundi A
- Singida Black Stars (Tanzania)
- Garde Cotes FC (Djibouti)
- Ethiopian Coffee SC (Ethiopia)
- Kenya Police FC (Kenya)
Kundi B
- APR FC (Rwanda)
- NEC FC (Uganda)
- Bumamuru FC (Burundi)
- Mlandege FC (Zanzibar)
Kundi C
- Al Hilal SC (Sudan)
- Kator FC (Sudan Kusini)
- Mogadishu City Club (Somalia)
- Al Ahly SC Wad Madani (Sudan)
Ratiba Kamili ya CECAFA Kagame Cup 2025
2 Septemba 2025
- 13:00 Garde Cotes FC vs Kenya Police FC
- 16:00 KMC FC vs Mlandege FC
- 18:00 APR FC vs Bumamuru FC
- 21:00 Singida Black Stars vs Ethiopian Coffee SC
3 Septemba 2025
- 13:00 Kator FC vs Al Ahly SC Wad Madani
- 16:00 Al Hilal SC vs Mogadishu City Club
5 Septemba 2025
- 13:00 Mlandege FC vs APR FC
- 16:00 Kenya Police FC vs Singida Black Stars
- 18:00 Bumamuru FC vs KMC FC
- 21:00 Ethiopian Coffee SC vs Garde Cotes FC
6 Septemba 2025
- 13:00 Al Ahly SC Wad Madani vs Al Hilal SC
- 16:00 Mogadishu City Club vs Kator FC
8 Septemba 2025
- 13:00 Singida Black Stars vs Garde Cotes FC
- 16:00 APR FC vs KMC FC
- 18:00 Ethiopian Coffee SC vs Kenya Police FC
- 21:00 Bumamuru FC vs Kator FC
10 Septemba 2025
- 13:00 Mogadishu City Club vs Al Ahly SC Wad Madani
- 16:00 Al Hilal SC vs Kator FC
Mashindano haya yanatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku timu zote zikilenga kunyakua Kombe la Kagame 2025 jijini Dar es Salaam.