Vituo vya Usaili wa Mahojiano kwa Kanda: 11–13 Agosti 2025
Waombaji wote walioitwa kushiriki kwenye usaili wa mahojiano yanayoandaliwa na MDA’s kwa mfumo wa kanda kuanzia tarehe 11 hadi 13 Agosti 2025 wanakumbushwa kuzingatia vituo rasmi vilivyopangwa. Orodha kamili ya vituo hivyo imewekwa kwenye kiambatisho rasmi kilichotolewa na Ofisi ya Ajira. Hakikisha unakagua kituo chako mapema ili kuepuka usumbufu siku ya usaili.
Kiambatisho cha Vituo vya Usaili
Tazama orodha kamili ya vituo vya usaili kupitia kiungo hiki cha PDF rasmi:
Vituo vya Usaili wa Mahojiano Tarehe 11–13 Agosti 2025
🔔 Kwa habari mpya Kila siku. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya habari kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!