Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), inayoratibiwa na CAF, sasa imepangiwa kuanza rasmi tarehe 2 hadi 30 Agosti 2025, baada ya kuahirishwa kutoka mwezi wa Februari kutokana na kutokamilika kwa miundombinu ya nchi waandaji. Mashindano haya yameandaliwa kwa ushirikiano kati ya Tanzania, Kenya na Uganda.
CHAN ni Nini?
CHAN ni michuano ya kipekee ya CAF inayojumuisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani pekee katika nchi zao husika. Wachezaji wa kulipwa wanaocheza nje ya nchi hawaruhusiwi kushiriki.
Sababu ya Kuahirishwa kwa CHAN 2024
Michuano hii ilipangwa kufanyika Februari 2024 lakini ikasogezwa mbele hadi Agosti 2025 ili kuruhusu maandalizi zaidi ya miundombinu, viwanja na huduma nyingine muhimu kutoka kwa nchi tatu zinazoiandaa.
Makundi ya CHAN 2025
Timu shiriki zimegawanywa katika makundi manne: A, B, C na D.
🗓 Ratiba ya Mechi: CHAN 2025
Kundi A
Tarehe
Saa
Mechi
Jumapili 3 Agosti
15:00
Kenya vs Congo DR
18:00
Morocco vs Angola
Alhamisi 7 Agosti
16:00
Congo DR vs Zambia
19:00
Angola vs Kenya
Jumapili 10 Agosti
15:00
Kenya vs Morocco
18:00
Zambia vs Angola
Alhamisi 14 Agosti
17:00
Morocco vs Zambia
20:00
Angola vs Congo DR
Jumapili 17 Agosti
15:00
Congo DR vs Morocco
15:00
Zambia vs Kenya
Kundi B
Tarehe
Saa
Mechi
Jumamosi 2 Agosti
20:00
Tanzania vs Burkina Faso
Jumapili 3 Agosti
20:00
Madagascar vs Mauritania
Jumatano 6 Agosti
17:00
Burkina Faso vs CAR
20:00
Mauritania vs Tanzania
Jumamosi 9 Agosti
17:00
CAR vs Mauritania
20:00
Tanzania vs Madagascar
Jumatano 13 Agosti
17:00
Madagascar vs CAR
20:00
Mauritania vs Burkina Faso
Jumamosi 16 Agosti
20:00
Burkina Faso vs Madagascar
20:00
CAR vs Tanzania
Kundi C
Tarehe
Saa
Mechi
Jumatatu 4 Agosti
17:00
Niger vs Guinea
20:00
Uganda vs Algeria
Ijumaa 8 Agosti
17:00
Algeria vs South Africa
20:00
Guinea vs Uganda
Jumatatu 11 Agosti
17:00
South Africa vs Guinea
20:00
Uganda vs Niger
Ijumaa 15 Agosti
17:00
Guinea vs Algeria
20:00
Niger vs South Africa
Jumatatu 18 Agosti
20:00
Algeria vs Niger
20:00
South Africa vs Uganda
Kundi D
Tarehe
Saa
Mechi
Jumanne 5 Agosti
17:00
Congo vs Sudan
20:00
Senegal vs Nigeria
Jumanne 12 Agosti
17:00
Senegal vs Congo
20:00
Sudan vs Nigeria
Jumanne 19 Agosti
20:00
Nigeria vs Congo
20:00
Sudan vs Senegal
⚽ Hatua za Mtoano – Knockout Stage
Robo Fainali
Tarehe
Saa
Mechi
Ijumaa 22 Agosti
17:00
TBC vs TBC
20:00
TBC vs TBC
Jumamosi 23 Agosti
17:00
TBC vs TBC
20:00
TBC vs TBC
Nusu Fainali
Tarehe
Saa
Mechi
Jumanne 26 Agosti
17:30
TBC vs TBC
20:30
TBC vs TBC
Mchezo wa Mshindi wa Tatu
Tarehe
Saa
Mechi
Ijumaa 29 Agosti
18:00
TBC vs TBC
Fainali
Tarehe
Saa
Mechi
Jumamosi 30 Agosti
18:00
TBC vs TBC
Mechi ya Ufunguzi: Tanzania vs Burkina Faso
Michuano ya CHAN 2025 itafunguliwa rasmi Jumamosi, 2 Agosti 2025, kwa mchezo kati ya Tanzania na Burkina Faso utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam saa 20:00 kwa saa za Afrika Mashariki (17:00 GMT).
CHAN 2025 ni fursa muhimu kwa wachezaji wa ndani kuonesha vipaji vyao, na kwa mashabiki, ni wakati wa kujivunia soka la nyumbani. Endelea kufuatilia kwa ratiba kamili, matokeo na mabadiliko mengine yatakapotokea.
🔔 Kwa habari mpya za Michezo. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya michezo kila siku! 🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!