Ratiba ya Usaili wa Vitendo Dereva Daraja la II na Fundi Sanifu Ujenzi II – Majina ya Nyongeza
Majina ya Nyongeza: Ratiba ya Usaili wa Vitendo kwa Dereva Daraja la II na Fundi Sanifu Ujenzi II
Vituo na Tarehe za Usaili
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa mchanganuo wa ratiba ya usaili wa vitendo kwa nafasi za Dereva Daraja la II na Fundi Sanifu Ujenzi Daraja la II (Technician Civil II) kwa majina ya nyongeza. Usaili utafanyika katika vituo vilivyopangwa kuanzia 11 hadi 13 Agosti 2025.
Maelekezo kwa Washiriki
Waombaji waliotajwa kwenye viambatisho rasmi wanapaswa kuhudhuria usaili kwa mujibu wa tarehe na vituo vilivyoainishwa kwenye mchanganuo. Ni muhimu kufika kwa wakati na kuzingatia taratibu zote zilizowekwa na waandaaji.
Viambatisho vya Ratiba Kamili
- Fundi Sanifu Ujenzi Daraja la II (Technician Civil II): Pakua Ratiba ya Usaili
- Dereva Daraja la II: Pakua Ratiba ya Usaili
Kwa taarifa zaidi, waombaji wanashauriwa kutembelea tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ili kuhakikisha wanafuata maelekezo yote kikamilifu.
🔔 Je, unatafuta Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya za ajira kila siku!