Ratiba ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025
Mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu ya FIFA 2025 yanatarajiwa kuwa ya kusisimua zaidi kuwahi kutokea, yakihusisha vilabu bora kutoka mabara yote. Hii hapa ratiba yote ya mechi kuanzia hatua ya makundi hadi fainali, ikionyesha tarehe, saa na viwanja vya kila mchezo.
⚽ Round of 16 – Hatua ya 16 Bora
Jumamosi, Juni 28, 2025
🕖 Saa 1:00 Usiku (19:00)
Palmeiras vs Botafogo
🕚 Saa 5:00 Usiku (23:00)
Benfica vs Chelsea
Jumapili, Juni 29, 2025
🕖 Saa 1:00 Usiku (19:00)
Paris Saint-Germain (PSG) vs Inter Miami
🕚 Saa 5:00 Usiku (23:00)
Flamengo vs Bayern Munich
Jumatatu, Juni 30, 2025
🕙 Saa 4:00 Usiku (22:00)
Inter Milan vs Fluminense
Jumanne, Julai 1, 2025
🕓 Saa 10:00 Alfajiri (04:00)
Manchester City vs Al-Hilal
🕙 Saa 4:00 Usiku (22:00)
Real Madrid vs Juventus
Jumatano, Julai 2, 2025
🕙 Saa 4:00 Usiku
Borussia Dortmund 🇩🇪 vs Monterrey 🇲🇽

🥅 Ratiba ya Robo Fainali
Ijumaa, Julai 4, 2025
Mechi ya 57: Mshindi wa Mechi 53 vs Mshindi wa Mechi 54
📍 Camping World Stadium, Orlando – ⏰ Saa 9:00 Mchana (15:00)
Mechi ya 58: Mshindi wa Mechi 49 vs Mshindi wa Mechi 50
📍 Lincoln Financial Field, Philadelphia – ⏰ Saa 3:00 Usiku (21:00)
Jumamosi, Julai 5, 2025
Mechi ya 59: Mshindi wa Mechi 51 vs Mshindi wa Mechi 52
📍 Mercedes-Benz Stadium, Atlanta – ⏰ Saa 6:00 Mchana (12:00)
Mechi ya 60: Mshindi wa Mechi 55 vs Mshindi wa Mechi 56
📍 MetLife Stadium, New York/New Jersey – ⏰ Saa 10:00 Mchana (16:00)
🏟️ Ratiba ya Nusu Fainali
Jumanne, Julai 8, 2025
Mechi ya 61: Mshindi wa Mechi 57 vs Mshindi wa Mechi 58
📍 MetLife Stadium, New York/New Jersey – ⏰ Saa 9:00 Mchana (15:00)
Jumatano, Julai 9, 2025
Mechi ya 62: Mshindi wa Mechi 59 vs Mshindi wa Mechi 60
📍 MetLife Stadium, New York/New Jersey – ⏰ Saa 9:00 Mchana (15:00)

🏆 Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025
Jumapili, Julai 13, 2025
Mechi ya 63: Mshindi wa Mechi 61 vs Mshindi wa Mechi 62
📍 MetLife Stadium, New York/New Jersey – ⏰ Saa 9:00 Mchana (15:00)
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 linatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku timu bora kutoka mabara mbalimbali zikichuana kuwania ubingwa. Mashindano haya yatahusisha hatua tofauti kuanzia 16 bora hadi fainali.
🔔 Tafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!