Ratiba ya NBC Premier League 2025/2026
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo Ijumaa, tarehe 29 Agosti 2025, imetangaza rasmi ratiba ya NBC Premier League msimu wa 2025/2026. Mashindano haya makubwa ya ligi kuu yataanza tarehe 17 Septemba 2025 na kumalizika tarehe 23 Mei 2026.
Mechi za Kwanza (September 2025)
- Jumatano, 17 Septemba 2025
- KMC FC vs Dodoma Jiji – Saa 10:00 jioni (KMC Complex, DSM)
- Coastal Union vs Tanzania Prisons – Saa 1:00 usiku (Mkwakwani, Tanga)
- Alhamisi, 18 Septemba 2025
- Fountain Gate vs Mbeya City – Saa 8:00 mchana (Tanzanite Kwaraa, Manyara)
- Mashujaa FC vs JKT Tanzania – Saa 10:15 jioni (Lake Tanganyika, Kigoma)
- Namungo FC vs Pamba Jiji – Saa 1:00 usiku (Majaliwa, Lindi)
Mechi Zinazofuata (October 2025)
- Jumatano, 29 Oktoba 2025
- Young Africans SC vs Mtibwa Sugar – Saa 1:00 usiku (Benjamin Mkapa, DSM)
- Alhamisi, 30 Oktoba 2025
- Tabora United vs Simba SC – Saa 10:00 jioni (Ali Hassan Mwinyi, Tabora)
- Azam FC vs Singida Black Stars – Saa 1:00 usiku (Azam Complex, DSM)
Pakua Ratiba Kamili
Kwa orodha kamili ya michezo yote ya NBC Premier League msimu wa 2025/2026, unaweza kupakua ratiba nzima kwa kubofya hapa chini: