UTEUZI wa Rais Samia leo, Uteuzi Mpya na Uhamisho wa Viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko na uhamisho wa viongozi katika ngazi mbalimbali serikalini. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Hili limefanyika ikiwa ni sehemu ya kuimarisha utendaji wa serikali.
UTEUZI wa Rais Samia Leo
Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa
- Kenan Laban Kihongosi: Simiyu kwenda Arusha
- Anamringi Macha: Shinyanga kwenda Simiyu
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
- Balozi Simon Nyakoro Sirro – Kigoma
- Kheri Denice James – Iringa
- Mboni Mohamed Mhita – Shinyanga
- Beno Morris Malisa – Mbeya
- Jabiri Omari Makame – Songwe
Uteuzi wa Katibu Mkuu
- Agnes Meena – Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa
- Rashid Kassim Mchata: Pwani kwenda Tanga
- Pili Hassan Mnyema: Tanga kwenda Pwani
Uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa
- Abdul Rajab Mhinte – Dar es Salaam
- Dkt. Frank Hawasi – Songwe
Uhamisho wa Naibu Katibu Mkuu
- Dkt. Hussein Mohamed Omar: Kilimo kwenda Elimu, Sayansi na Teknolojia
Uteuzi wa Naibu Makatibu Wakuu
- Prof. Peter Lawrence Msoffe – Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)
- Mhandisi Athumani Juma Kilundumya – Wizara ya Kilimo
Uhamisho wa Wakuu wa Wilaya
- Solomon Jonas Itunda – Songwe kwenda Mbeya
- Japhari Kubecha Mghamba – Handeni kwenda Gairo
- Amir Mohamed Mkalipa – Arumeru kwenda Ilemela
Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya
Miongoni mwa walioteuliwa ni:
- Estomin Kyando – Kilolo
- Ayubu Sebabile – Muheza
- Thecla Mkuchika – Butiama
- Angelina Lubela – Serengeti
- Maulid Dotto – Mvomero
- Rukia Zuberi – Mwanga
- Mwinyi Mwinyi – Arumeru
- Jubilete Lauwo – Magu
- Mikaya Dalmia – Kigamboni
- Thomas Myinga – Sikonge
- Gloriana Kimath – Monduli
- Upendo Wella – Tabora
- Denis Masanja – Tunduru
- Fadhil Nkurlu – Songwe
- Benjamin Sitta – Iringa
- Salum Nyamwese – Handeni
- Frank Mkinda – Kahama
Uteuzi wa Makatibu Tawala wa Wilaya
Baadhi ya walioteuliwa ni:
- Mwanamwaya Kombo – Mkinga
- Kassim Kirondomara – Biharamulo
- Thobias Abwaro – Babati
- Asycritus Egaruk – Meatu
- Nyakaji Mashauri – Kilolo
- Mustapha Kimomwe – Rufiji
- Milama Masiko – Serengeti
- Mpampalika Mpampalika – Mwanga
- Richard Mwalingo – Mtwara
- Zuberi Zuberi – Magu
- Angela Mono – Tanga
- Mamndolwa Gembe – Same
- Sabina Mwajeka – Momba
- Sosthenes Chakupanyuka – Kaliua
- Adestino Mwilinge – Mbogwe
Uhamisho wa Wakurugenzi Watendaji
- Justice Kijazi: Manispaa ya Iringa kwenda Jiji la Mbeya
- Zaina Mlawa: Bahi kwenda Manispaa ya Iringa
Uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji
Wateule ni pamoja na:
- Raymond Mweli – Mbarali
- Adelina Mfikwa – Bukombe
- Iddi Ndabona – Bariadi
- Hamisi Idd – Busega
- Mwarami Seif – Nzega
- Newaho Mkisi – Meatu
- Zainab Mgomi – Nanyamba
- Dkt. John Pima – Manispaa ya Tabora
- Albina Mtumbuka – Bahi
- Paulo Faty – Mvomero
- Shabani Kabelwa – Kaliua
- Vicent Mbua – Ukerewe
Uteuzi wa Mkuu wa Taasisi
- Mhandisi Machibya Masanja – Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)
Taarifa ya Uapisho
Rais Samia ataongoza uapisho wa baadhi ya viongozi walioteuliwa na kuhamishwa katika tarehe itakayopangwa baadaye.
🔔 Je? unatafuta Nafasi za Kazi? Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya ajira kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!