Wachezaji Wapya wa Yanga SC 2025/2026
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imeanza maandalizi ya msimu mpya wa 2025/2026 kwa kusajili nyota wapya katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha kikosi chake kuelekea mashindano ya ndani na Ligi ya Mabingwa Afrika.
Orodha Kamili ya Wachezaji Wapya
- Lassine Kouma
- Moussa Balla Conte
- Offen Chikola
- Abdulnasir Abdallah Mohamed
- Andy Boyeli
- Celestine Ecua
- Mohamed Doumbia
- Mohamed Hussein
- Frank Assink
Lengo la Usajili Mpya
Usajili huu unaendana na mikakati ya Yanga SC ya:
- Kutetea taji la Ligi Kuu ya NBC
- Kufanya vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika
- Kuongeza ushindani ndani ya kikosi
- Kuweka kizazi kipya cha mafanikio
Yanga inaendelea kujipanga kuhakikisha inakuwa na kikosi kipana, chenye ubora wa kupambana kwenye mashindano ya ndani na nje ya nchi.
🔔 Kwa habari mpya za Michezo. Jiunge na Watanzania wengine kupitia WHATSAPP CHANNEL kwa matangazo ya michezo kila siku!
🌐 Tembelea Habari Wise kwa habari mpya kila siku!